Thursday, November 19, 2020

RAIS DK. MWINYI ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI KATIKA SERIKALI YA MAPINDUZI AWAMU YA NANE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya Awamu ya Nane katika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar leo wakati alipozungumza na  Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi.

Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kutangazwa  majina ya Mawaziri katika Wizara mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Rais wa Zanzibar ya Awamu ya Nane na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  katika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar leo wakati alipozungumza na  Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi.

Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali Serikali na Binafsi wakiwa katika  ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar  wakati  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya Awamu ya Nane.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya Awamu ya Nane katika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar leo wakati alipozungumza na  Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya Awamu ya Nane katika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar leo wakati alipozungumza na  Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi.

Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi  Zanzibar  ni Miongoni mwa   Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kutangazwa  majina ya Mawaziri katika Wizara mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya Awamu ya Nane  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  katika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar leo wakati alipozungumza na  Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya Awamu ya Nane katika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar leo wakati alipozungumza na  Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi.[Picha na Ikulu

No comments :

Post a Comment