Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa mafunzo ya Waheshimiwa Wabunge yanaoendelea Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai.Spika Mstaafu wa Bunge, Mhe. Pius Mswekwa akitoa mada wakati wa mafunzo ya Waheshimiwa Wabunge yanaoendelea Bungeni Jijini Dodoma. Spika Mstaafu wa Bunge, Mhe. Anne Makinda akitoa mada wakati wa mafunzo ya Waheshimiwa Wabunge yanaoendelea Bungeni Jijini Dodoma.Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali, Wilbert Ibuge akitoa mada wakati wa mafunzo ya Waheshimiwa Wabunge yanaoendelea Bungeni Jijini Dodoma.
PICHA NA BUNGE
No comments :
Post a Comment