Thursday, October 8, 2020

Tsh.50,000 KWA Tsh.500,000 NA TECNO SPARK 5PRO, PRE ODER SASA!

Pata nafasi ya kujishindia zawadi yenye thamani ya zaidi ya shillingi laki tano-500,000tsh lakini pia jinyakulie zawadi nyengine kama vile TECNO H2 earphone na TECNO S1 wireless speaker

pale tu utakapoingia katika maduka ya TECNO na kufanya malipo (pre-order) ya awali sh.50,000 kwa jili ya simu bomba ya TECNO spark 5pro. 

Ili kuwa miongoni mwa wateja wa kwanza kutumia TECNO spark 5pro unaweza kupre-Order kuanzia tarehe 8/10-16/10/2020 katika mikoa ifuatayo; 

MKOA DUKA NAMBARI YA SIMU
Dar es Salaam Mlimani City Smart Hub, China plaza smart hub, Hyatt, Mobimart, Mashreq, Inorbit, Mercury, Raju n.k 654843687

654304803

Mwanza Jambo Mwanza Shop, Gift Shop 1, J.B.L Mobile, 

Katoro shop, Bukoba shop

719083413

753144128

Arusha CCM Babadi, Bus Terminal Arusha,  715092100
Dodoma Pablo shop 764161011
Moshi Totolee 659392893
Mbeya BM shop, TECNO Mbeya shop 758442496

Lakini pia unaweza ku pre-order kupitia link hii https://docs.google.com/forms/d/1XphHiSvwjjSHLLox_2Nuq62x43Z53vtWZ9v1bq0M1tA/edit 

 

No comments :

Post a Comment