Wednesday, October 7, 2020

RAIS MHE.DKT.MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANAHABARI BAADA YA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MGENI WAKE RAIS WA MALAWI DKT.CHAKWERA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati akisikiliza hotuba ya mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wazungumza na Wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 07 Oktoba 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari kutoka Tanzania na Malawi katika mkutano na Waandishi wa Habari mara baada ya mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy ChakweraRais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera akizungumza na Wanahabari kutoka Tanzania na Malawi mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli. PICHA NA IKULU

 

No comments :

Post a Comment