Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Abubakar Kunenge, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Daniel
G. Chongolo pamoja na viongozi wa Dini wakiwasili kwenye mradi wa maji
wakiongozwa na Meneja wa miradi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa
Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Valentina Njau walipofika kutembelea
mradi wa tanki la maji na sehemu ya kuzsambazia maji katika mkoa wa Dar
es Salaam wakati wa ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo
ya Mkoa huo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Abubakar Kunenge, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Daniel G. Chongolo pamoja na viongozi wa Dini wakitembela mradi wa Maji unaotekelezwa na DAWASA
Meneja
wa miradi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam
(DAWASA) Valentina Njau akitolea ufafanuzi kuhusu mradi wa ujenzi wa
Tanki la maji na sehemu ya kusambazia maji uliopo Makongo Juu wakati wa
ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Abubakar Kunenge pamoja na
viongozi wa Dini waliokuwa wanatembelea miradi mbalimbali ya maendeleo
ya Mkoa wa Dar es Salaam
Meneja
wa miradi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam
(DAWASA) Valentina Njau akiwaonesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
Abubakar Kunenge pamoja na viongozi wa Dini namna mradi huo ulipofikia
kwenye mchoro ili kuweza kuongeza ufanisi kwenye usambazaji wa maji
katika mkoa wa Dar es Salaam wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam Abubakar Kunenge pamoja na viongozi wa Dini waliokuwa
wanatembelea miradi mbalimbali ya maendeleo ya Mkoa wa Dar es Salaam
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam Abubakar Kunenge akiwapongeza DAWASA kwa
kuweza kutekeleza mradi huo utakaoweza kuongeza nguvu ya usambazaji wa
maji katika mkoa wa Dar es Salaam na kuwaondiolea hadha ya upatikanaji
wa maji kwa wakazi wa jiji wakati wa ziara yake pamoja na viongozi wa
Dini wa jijini Dar es Salaam waliokuwa wanatembelea miradi mbalimbali
ya maendeleo ya jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam Abubakar Kunenge akitoa mjumuhisho kuhusu
mradi wa usambazaji wa Maji katika jiji la Dar es Salaama unaotekelezwa
na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam
(DAWASA) kwa viongozi wa Dini wa jijini Dar es Salaam mara baada ya
kutembembelea mradi huo uliopo Makongo Juu Jijini Dar es Salaam leo.
No comments :
Post a Comment