Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay pamoja na Makamu
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Prof. Neema Mori Martin, wakiwa
katika zoezi la kupika "pancake" kwa jailli ya wateja wakati wa uzinduzi
wa Wiki ya Huduma kwa Wateja. Katika hafla hiyo Benki ya CRDB ilifanya
zoezi la upishi kwa kushirikiana na wafanyakazi na kuwahudumia waters
kwa pamoja ikiwa ni sehemu ya kuonyesha umuhimu wa kufanya kazi kama
timu katika kufikia malengo. Kauli mbiu ya Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa
Benki ya CRDB mwaka huu ni "Dream Team/ Timu ya Ushindi".
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela pamoja na Mjumbe wa Bodi
wa Benki ya CRDB, Martin Warioba, wakiwa katika zoezi la kupika
"pancake" kwa jailli ya wateja wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa
Wateja. Katika hafla hiyo Benki ya CRDB ilifanya zoezi la upishi kwa
kushirikiana na wafanyakazi na kuwahudumia waters kwa pamoja ikiwa ni
sehemu ya kuonyesha umuhimu wa kufanya kazi kama timu katika kufikia
malengo. Kauli mbiu ya Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa Benki ya CRDB mwaka
huu ni "Dream Team/ Timu ya Ushindi".
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akimlisha mteja "pancake"
wakati wa hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja iliofanyika
katika tawi la Benki ya CRDB TAZARA. Katika hafla hiyo viongozi wa
Benki ya CRDB walifanya zoezi la upishi kwa kushirikiana na wafanyakazi
na kuwahudumia weteja kwa pamoja, ikiwa ni sehemu ya kuonyesha umuhimu
wa kufanya kazi kama timu katika kufikia malengo. Kauli mbiu ya Wiki ya
Huduma kwa Wateja kwa Benki ya CRDB ni "Dream Team/ Timu ya Ushindi".
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akihutubia wakati wa
uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja Benki ya CRDB. Kauli mbiu ya Wiki
ya Huduma kwa Wateja kwa Benki ya CRDB ni "Dream Team/ Timu ya Ushindi"
ikihamsisha kufanya kazi kama timu katika kufikia malengo ya kutoa
huduma bora kwa waters.
No comments :
Post a Comment