RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed
Shein akimzawadia Mwanafunzi Bora Khadija Hafidh Said, wakati wa hafla
ya chakula maalum alichowaandaliwa katika viwanja vya Ikulu Jijini
Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein akihutubia wakati wa hafla ya kuwakabidhi zawadi Wanafunzi wa
Skuli za Zanzibar waliofanya vizuri mitihani yao Taifa ya Kidatu cha
Sita na cha Nne hafla hiyo ya chakula
maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
BAADHI
ya Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Zanzibar waliofanyika vizuri
mitihani yao ya Taifa ya Kidatu cha Sita na Nne wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein.(hayupo pichani) akiwahutubia katika hafla yachakula maalum alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akimzawadia Mwanafunzi Bora wa Kidatu cha Sita kutokas Skuli ya
Sekondari ya SUZA Betras. Abdulrahaman Zaidu Mohammed, wakati wa hafla
ya kuwapongeza na kuwazawadia zawadi Wanafunzi Bora wa Kidatu cha Sita
na Nne katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein akiwa katika picha ya pamoja Viongozi wa Serikali na baadhi ya
Wanafunzi Bora wa Kidatu cha Sita na Nne, baada ya kumalizika kwa hafla
ya chakula maalum alichowandalia katika viwanja vya Ikulu Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment