Afisa
Mtendaji Mkuu wa PPRA, Mhandisi Leonard S. Kapongo akimsikiliza Meneja
wa TANROADS Mkoa wa Manyara, Mhandisi Bashiri Rwesingisa, ambaye
alitembelea banda la PPRA katika Maonesho ya Siku ya Wahandisi mwaka
2020
Watumishi wa PPRA wakitoa elimu kwa wadau
Watumishi
wa PPRA wakiwa katika banda lao wakati wa maonesho ya Siku ya Wahandisi
(Annual engineers day), 2020 yanayofanyika jijini Dodoma.
Kaimu
Mkurugenzi wa Kujenga Uwezo na uduma za Ushauri - PPRA, Mhandisi Mary
Swai, akitoa elimu kuhusu huduma zinazotolewa na PPRA kwa wadau
waliotembelea banda la PPRA kwenye Maonesho ya Siku ya Wahandisi (Annual
engineers day), 2020 yanayofanyika jijini Dodoma.
No comments :
Post a Comment