Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi(PSPTB) Godfred Mbanyi, (kulia) akiungumza kuhusu kuimarisha umoja pamoja na upendo katika kazi ili bodi iweze kufanya kazi zake kiufanisi wakati wa ufunguzi wa mkutano wa baraza
la wafanyakazi wa PSPTB katika ukumbi wa NIMR jijini Dar es Salaam.
Katikati ni Katibu wa Baraza la wafanyakazi wa PSPTB Simon Macha na wa
kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa TUGHE-PSPTB Shilla Mwandu .
Mwenyekiti
wa TUGHE-PSPTB, Shilla Mwandu kizungumza na wajumbe wa baraza la
wafanyakazi wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi
wa NIMR jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa Baraza la wafanyakazi
wa PSPTB Simon Macha na kushoto ni Katibu wa TUGHE- PSPTB Mawazo
Lugusha.
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa Bodi
ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi(PSPTB) wakiwa kwenye mkutano
uliowakutanisha kujadili changamoto pamoja na mipango itakayowezesha
Bodi hiyo kufikia malengo wakati wa mkutano mkutano wa Baraza hilo uliofanyika katika ukumbi wa NIMR jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment