Tuesday, September 8, 2020

KITUO CHA AFYA GEITA CHAFANIKIWA KUFANYA UPASUAJI WA KWANZA WA KUMTOA MTOTO TUMBONI MWA MAMA.


 Kituo cha Afya Kasamwa kilichopo Mjini Geita leo kimefanikiwa kufanya upasuaji wa kwanza wa kumtoa mtoto tumboni mwa Mama. Mtoto huyo ana uzito wa kilo 3, ana afya njema na Mama yake pia ana afya njema. Kituo hiki kimeanza kutoa huduma jana Agosti 07, 2020. Ni miongoni mwa vituo vya afya 487 vilivyojengwa nchini tangu Rais Magufuli aingie madarakani Novemba 2015. Haya ni mafanikio makubwa

No comments :

Post a Comment