Monday, August 17, 2020

Vodacom Tanzania PLC Yapongezwa kwa Uwekezaji Mkubwa Walioufanya Nchini


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu (Uwekezaji), Mhe. Angela Kairuki (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo alipoitembelea  kampuni ya Vodacom Tanzania PLC na kuipongeza kampuni hiyo  kwa uwekezaji mkubwa waliofanya. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia na Mkurugenzi wa kituo cha Uwekezaji Tanzania TIC, Dkt. Maduhu Isaack Kazi.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu (Uwekezaji), Mhe. Angela Kairuki akizungumza na Menejimenti ya Vodacom Tanzania PLC

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu (Uwekezaji), Mhe. Angela Kairuki akiwa kwenye picha ya pamoja na menejimenti ya Vodacom Tanzania PLC na maofisa aliofuatana nao

No comments :

Post a Comment