![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/08/bf818dea-9fdd-4114-bbcc-1e7ed577af5f.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ukarabati wa barabara ya Somanga – Mbwemkuru katika kijiji cha Mtandi Kata ya Kiranjeranje wilayani Kilwa , Agosti 13, 2020. Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Arch.Elius Mwakalinga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments :
Post a Comment