Monday, July 13, 2020

WAZAZI 35 WAKAMATWA KWA KUWAFUNDISHA WATOTO WADOGO NGONO


Wazazi waliokamatwa na jeshi la polisi wilayani Tunduru wakiwafundisha watoto wadogo walio na umri wa miaka minane wakiwa katika kituo kikuu cha Polisi wilayani humo jana.
Wazazi wa kata ya Nalasi wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma wakiwa kwenye gari la Polisi baada ya kukamatwa wakiwafundisha watoto wao wadogo wenye umri chini ya miaka minane  masuala ya ngono na jinsi ya kuishi na wanaume,vitendo vinavyotajwa kuchochea vitendo vya ngono na mimba za utotoni wilayani humo.
Baadhi ya wazazi kutoka kata ya Nalasi wilaya ya Tunduru wakipanda Kalandinga(gari)la Polisi baada ya kukamatwa jana wakiwafundisha watoto wao wenye umri chini ya miaka minane masuala ya ngono na kuishi na wanaume vitendo vinavyotajwa kuchangia kwa 
kiwango kikubwa ongezeko la mimba za utotoni  kwa wasichana wengi katika wilaya hiyo.
…………………………………………………………………………………..

No comments :

Post a Comment