Afisa
Masoko RITA, Edwin Mbekenga akiwaelekeza wananchi namna ya kujaza fomu
za cheti cha kuzaliwa leo katika maonesho ya 44 ya Kimataifa Sabasaba
wilaya Temeke jijini Dar es Salaam.
Watumshi
wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) wakiwaelekeza wananchi
namna ya kujaza fomu za cheti cha kuzaliwa leo katika maonesho ya 44 ya
Kimataifa Sabasaba wila ya Temeke jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment