Leo tarehe 09 Julai, 2020
ujumbe wa ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza umetembelea banda la Tume
ya Madini kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika
Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali
No comments :
Post a Comment