Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa wakati
alipomkaribisha nyumbani kwake Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma jana mara
baada ya hafla ya Chakula cha mchana aliyowaandalia Wajumbe wa Mkutano
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa aliyeambatana na
Mkewe Mama Regina Lowassa nyumbani kwa Mhe.Rais Dkt. Magufuli jana mara
baada ya hafla ya Chakula cha mchana aliyowaandalia Wajumbe wa Mkutano
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimsindikiza Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa mara baada ya
mazungumzo yao nyumbani kwake Chamwino mkoani Dodoma baada ya hafla ya
Chakula cha mchana aliyowaandalia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha
Mapinduzi CCM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa
jana wakati alipomkaribisha nyumbani kwake Ikulu ya Chamwino mkoani
Dodoma mara baada ya hafla ya Chakula cha mchana aliyowaandalia Wajumbe
wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli kushoto katika picha ya kumbukumbu
na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa aliyeambatana na Mkewe Mama Regina
Lowassa nyumbani kwa Mhe.Rais Dkt. Magufuli
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment