Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Mriam Perla Mbaga kuwa
Katibu Tawala wa mkloa wa Simiyu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu
Chamwino Dodoma Julai 6, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha baada ya kumthibitisha Bw.
James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Udhibiti wa Dawa za
Kulevya nchini (DCEA) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha wa Polisi Thobias Emir
Andengenye kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu
Chamwino Dodoma
Wateuliwa wakila kiapo cha maadili
ya Viongozi mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kuwaapisha viongozi
mbalimbali aliowateua kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Kagera
Brigedia Jenerali Marco Gaguti akimuapisha Kanali Mathias Kahabi kuwa
Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino
Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Loatha Ole Sanare
akimuapisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Ismail
Twahir Mlawa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero kwenye hafla
iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma
Magufuli akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Loatha Ole Sanare
akimuapisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Ismail
Twahir Mlawa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero kwenye hafla
iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Pwani
akimuapisha Mhandisi Martine Ntemo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha kwenye
hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea mara baada ya kuwaapisha
viongozi aliowateuwa katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani
Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka sehemu ya tukio baada ya
kuwaapisha viongozi aliowateuwa katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino
Mkoani Dodoma
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment