Monday, July 6, 2020

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMUWAKILISHA RAIS DKT. MAGUFULI MALAWI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera  muda mfupi baada ya kusimikwa rasmi  kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi leo Julai 06,2020 kwenye Sherehe iliyofanyika katika Kambi ya Jeshi ya Kamuzu,  Lilongwe nchini Malawi.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments :

Post a Comment