Thursday, July 9, 2020

KATIBU WA TAGCO ATEMBELEA WANACHAMA KUONA JINSI WANAVYOTEKELEZA MAJUKUMU YAO


Katibu wa chama cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini (TAGCO) Bw. Abdul Njaidi (katikati) akipokea kijitabu cha Mkataba na Huduma kwa Wateja cha Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kutoka kwa Memeja Mawasiliano na Elimu kwa Umma TMDA,
Bi. Gaudensia Simwanza (kushoto) na Bi.Roberta Feruzi ambaye ni fisa Uhusiano
Mwandamizi wa Mamlaka hiyo, wakati Bw. Njaidi alipowatemebele maafisa habari wa
Umma ambao ni wanachama wa TAGCO ili kuona jinsi wanavyohudumia umma.
 Katibu wa chama cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini (TAGCO) Bw. Abdul Njaidi (katikati) akitazama kijitabu kinachoelezea shughuli za Bodi ya Wakala wa Ununuzi na Ugavi  (PSPTB) huku akifafanuliwa na Afisa Mwandamizi wa Masoko na Usiano kwa Umma wa Mamlaka hiyo, Bi. Shamim Mdee (kulia) na Afisa Habari Bw. Ramadhan Kissimba.
Bw. Njaidi akiuliza swali kuhusu “antena” yaani vyuma anavyofungwa mgonjwa aliyevunjika mfupa kutoka kwa mtaalamu wa Taasisi ya Mifupa MOI, Dkt. Sharif Luena (kushoto) na Bw. Patrick Mvungi (kulia) ambaye ni mwanachama wa TAGCO na Afisa Uhusiano wa MOI.

No comments :

Post a Comment