Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimpa pole Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ambaye amelazwa
katika hospitali ya Ntyuka jijini Dodoma, kwa matibabu Juni 9, 2020.
Mbowe anatibiwa majeraha aliyoyapata baada ya kushambuliwa na watu
ambao bado hawajajulikana wakati akiingia nyumbani kwake jijini Dodoma
usiku wa kuamkia leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment