RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzin Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akizungumza wakati wa mkutano wake na Viongozi wa Serikali wa Mikoa
miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Ndogo Chakechake Pemba akiwa katika ziara yake ya Siku mbili Kisiwani
Pemba.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa
Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Ussi
Gavu akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe., Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Viongozi
wa Serikali wa Mikoa miwili ya Kusini na Kaskazini Pemba uliofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba leo 12/5/2020.(Picha na
Ikulu)
MKUU wa Mkoa
wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman akiwasilisha taarifa ya utekelezaji
ya Mkoa wa Kusini wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Ndogo chakechake Pemba leo 12/5/2020.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya
Viongozi wa Serikali na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama,
wakifuatilia mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) mkutano huo
umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba, akiwa katika
ziara yake ya siku mbili.(Picha na Ikulu)
KAMANDA wa
Chuo Cha Mafunzo Sharif Ahmada Ali akisoma dua baada ya kumalizika kwa
mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake
Pemba.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya
Viongozi wa Serikali kutoka Mikoa miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) akizungumza wakati wa mkutano
huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba leo
12/5/2020.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment