Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge
(kushoto) akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda,
Bi. Agnes Kayola wakati akifungua mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC
kwa ngazi ya Makatibu Wakuu uliofanyika kwa njia ya (Video Conference)
leo Jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge
(aliyevaa koti jeusi) akiongea na wajumbe wa mkutano wa Baraza la
Mawaziri wa SADC kwa ngazi ya Makatibu Wakuu kwa njia ya (Video
Conference) leo Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Makatibu Wakuu
wakifuatilia mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC uliofanyika kwa njia
ya (Video Conference) leo Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Maafisa waandamizi
wakifuatilia mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC uliofanyika kwa njia
ya (Video Conference) leo Jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge
akisisitiza jambo kwa wajumbe wa mkutano (hawapo pichani). Kulia ni
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda, Bi. Agnes Kayola
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge (wa
kwanza meza kuu kushoto) akiongea na wajumbe wa mkutano wa Baraza la
Mawaziri wa SADC kwa njia ya (Video Conference) leo Jijini Dar es Salaam
No comments :
Post a Comment