
Wizara ya afya nchini humo imesema kwamba kati hao 12 walioambukizwa, 7 wanatoka Mombasa, 3 Nairobi, Kitui 1 na Wajir 1.
Kwa
saa 24 zilizopita, wagonjwa 15 wamepona ikiwa ndio idadi ya juu tangu
kutangazwa kwa virusi hivi nchini mno huku wale waliopona wakifikia 144
kwa ujumla.
Aidha wawili wamethibitishwa kufariki na kufikisha idadi hiyo kuwa 17.
No comments :
Post a Comment