……………………………………………………………………………..
Na.Alex Sonna,Dodoma
Spika wa bunge Job Ndugai amegoma
kusomwa kwa maoni ya kambi rasmi ya upinzani kuhusu hotuba ya
bajeti ya
ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kwa sababu imeenda
kinyume na kanuni za bunge.
Ndugai amesema kuwa mwanzo
aliwaonya na kuwataka kuondoa baadhi ya maneno katika hotuba zao
zinazokwenda kinyume na kanuni lakini kuanzia sasa atakuwa hafanyi hivyo
na badala yake ni kuondoa hotuba nzima yenye maneno yanayokiuka kanuni
No comments :
Post a Comment