Mahakama
ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam imemuhukumu Mkurugenzi wa
Jamii Forums, Bw. Maxence Mello kulipa faini ya Shilingi Milioni 3 ama
kwenda jela mwaka mmoja baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuzuia
Polisi kutekeleza majukumu yao.
Aidha
mahakama hiyo imemuachia huru mshtakiwa mwenzake Bw. Mike Mushi baada
ya kukosekana kwa ushahidi wa kutosha wa kumuhusisha na kosa. Hakimu
Mkazi wa mahakama hiyo Bw.Thomas Simba ndiye aliyetoa hukumu hiyo.
Pichani chini Bw.Mello na mwenzake Mushi wakiwa kwenye mahakama hiyo leo
Aprili 8, 2020 wakati na kabla ya kutolewa kwa hukumu hiyo.
Aidha Bw. Maxence Mello ameweza kulipa faini hiyo na kuachiwa huru.
Aidha Bw. Maxence Mello ameweza kulipa faini hiyo na kuachiwa huru.
No comments :
Post a Comment