Mtaratibu
wa Ikulu ya Marekani anayeshughulikia mambo ya kupambana na virusi vya
Corona Bibi Deborah Birx amewaambia wanahabari kuhusu mwelekeo wa
maendeleo ya hali ya virusi vya Corona nchini humo.
Makadirio yaliyotolewa naye yanaonyesha kuwa idadi ya vifo vya watu kutokana na virusi hivyo inaweza kufikia 100,000 hadi 2,40,000 chini ya hatua za udhibiti, na idadi hiyo ingefikia milioni 1.5 hadi milioni 2.2 bila ya kuchukua hatua hizo.

Ripoti
iliyotolewa na Chuo cha udaktari katika Chuo Kikuu cha Washington
imetabiri kuwa, hali mbaya zaidi ya kuenea kwa virusi vya Corona
itatokea katika mwezi huu nchini humo, na itaendelea hadi mwezi Juni, na
huenda ikatokea tena katika majira ya mpukutiko na majira ya baridi
mwaka huu.
Kufikia sasa, janga la corona limesababisha zaidi ya vifo 3500 nchini humo na maambukizi ya zaidi ya watu 170,000.
Source:DW, CRI
Kufikia sasa, janga la corona limesababisha zaidi ya vifo 3500 nchini humo na maambukizi ya zaidi ya watu 170,000.
Source:DW, CRI
No comments :
Post a Comment