Thursday, April 30, 2020

MAKAMU WA RAIS MHE SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA KIKAO CHA DHARURA CHA HALI YA MAZINGIRA KATIKA MIGODI YOTE NCHINI



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha dharura kuhusu Masuala ya Migodi nchini kulia Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano  Mhe  Mussa Azan Zungu kushoto Waziri wa Madini Mhe Dotto Biteko. Kikao  hicho kilifanyika kwenye ukumbi wa Hazini Mjini Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Samia Suluhu Hassan akitoa maelekezo kwa wajumbe wa kikao cha dharura kinachohusu masuala ya Migodi nchini kilichofanyika kwenye ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma.

No comments :

Post a Comment