Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na wajumbe wa Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya
kuimarisha zao la Mkonge. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwa Waziri
Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 8, 2020. Kulia kwa Waziri Mkuu ni
Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment