Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Phiip
Redman (kushoto) akimkabidhi kombe la ushindi wa jumla meneja mauzo
TBL Nyanda za juu Kusini ( TBL Sales Team far South) Philip Kubecha
Wafanyakazi wa vitengo cha Masoko na Mauzo wakifurahia tuzo walizotunikiwa
Baadhi ya wafanyakazi wa Mauzo wakifurahia mafanikio yao kwa juchera miliki.
*****************************
Kampuni ya Bia
Tanzania Limited (TBL) chini ya kampuni ya kimataifa ya ABInBEV,
iliandaa mkutano wa Wasambazaji bora wa bidhaa zake nchini sambamba na
kukabidhi tuzo (Sales Awards 2020) kwa wafanyakazi wake kutoka kitengo
cha mauzo kanda mbalimbali nchini kwa utendaji bora wao wa kazi katika
hafla kubwa iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment