Meneja wa Idara ya Masoko ya
Fedha Benki Kuu ya Tanzania BoT Bw. Lameck Kakulu akiwasilisha mada ya
mwitikio wa wawekezaji kuwekeza kwenye Kwenye Dhamana za Serikali
katika semina ya waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari
mbalimbali inayoendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa BoT tawi la Arusha.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari mbalimbali wakimsikiliza Meneja
wa Idara ya Masoko ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania BoT Bw. Lameck Kakulu
wakati akiwasilisha mada ya mwitikio wa wawekezaji kuwekeza kwenye
Kwenye Dhamana za Serikali katika semina hiyo.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari mbalimbali wakifuatilia madailiyokuwa ikitolewa na Meneja
wa Idara ya Masoko ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania BoT Bw. Lameck Kakulu
wakati akiwasilisha mada ya mwitikio wa wawekezaji kuwekeza kwenye
Kwenye Dhamana za Serikali katika semina hiyo.
No comments :
Post a Comment