Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya
kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimokatika hafla fupi iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo baada ya kumuapisha
Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo katika
hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6,
2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet
Hasunga Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa, Waziri wa
Fedha na Mipangu Dkt. Philip Mpango, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John
Kijazi, Mwenyekiti wa Tume ya Maadili Jaji Mstaafu Harold Nsekela pamoja
na baadhi ya makatibu wakuu na Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama
baada ya kumuapisha Bw. Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa
Wizara ya Kilimo na Umwagiliaji katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020
No comments :
Post a Comment