Monday, March 9, 2020

MWENYEKITI WA CCT ASKOFU CHEYO AZINDUA UJENZI WA KANISA LA MORAVIAN TANZANIA USHIRIKA WA MABIBO JIJINI DAR ES SALAAM


Dkt. Rt. Alinikisa Cheyo Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na Mwenyekiti wa Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT) Akikata keki  ishara  ya uzinduzi rasmi wa ujenzi wa Kanisa jipya la Moravian Tanzania, Ushirika wa Mabibo ambapo Ibada ya uzinduzi ilifanyika katika kanisa hilo Jijini Dar es Salaam.
 Dkt. Rt.  Alinikisa Cheyo Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na Mwenyekiti wa Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT), Akitoa neno wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa kanisa jipya la Moravian Tanzania Ushirika wa Mabibo.
Mchungaji Saul Kulyafiki Kajula mwenyekiti wa Jimbo Moravian Mashariki akitoa neno wakati wa uzinduzi wa ujenzi  wa  kanisa jipya la Moravian Tanzania Ushirika wa Mabibo.
Mgeni rasmi Bw. Daniel Malanga akitoa neno wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa kanisa jipya la Moravian Tanzania Ushirika wa Mabibo.
Bw.Deodatus Siwale Mwenyekiti wa  wa  Kamati ya miradi na maendeleo Mabibo Moravian Akitoa maelezo zaidi  namna ambavyo ujenzi wakanisa hilo jipya la kisasa utakavyokuwa na kuwahimiza waumini kuungana kwa pamoja ili ujenzi ufanikiwe kwa haraka 
Makamu Mwenyekiti  wa  Kamati ya miradi na maendeleo Mabibo Moravian Bw. Elias Reuben Ambokile akitoa neno kwa niaba  ya wanakamati wote wa ujenzi wa Kanisa jipya la kisasa
Bw. Solomon Kibona Katibu wa Kamati ya miradi na maendeleo Mabibo Moravian, akielezea zaidi kuhusu mambo mbalimbali  yatakayokuwepo katika kanisa hilo.
 Wanakamati wa Kamati ya miradi na maendeleo Mabibo Moravian
 Mchungaji wa Ushirika wa Mabibo Ntufye Mbukwa (anayeongea) akitoa neno kwa niaba ya Baraza  la wazee Ushirika wa Mabibo.
Baadhi ya kwaya zikitumbuiza wakati wa uzinduzi wa  ujenzi wa kanisa jipya la Moravian Tanzania Ushirika wa Mabibo.
 Waumini wakiwa  katika Ibada ya uzinduzi wa  ujenzi wa kanisa jipya la Moravian Tanzania Ushirika wa Mabibo.
 Dkt. Rt. Alinikisa Cheyo Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na Mwenyekiti wa Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT),  akifunga ibada ya uzinduzi wa  ujenzi wa kanisa jipya la Moravian Tanzania Ushirika wa Mabibo. (Picha zote na Fredy Njeje )

No comments :

Post a Comment