Sehemu ya kinamama na wanafunzi wa kike wa shule mbalimbali za msingi na Serikali wakiwa kwenye maandamano ya kuazimisha siku ya wanawake ambayo kilele chake kinaazimishwa kesho |
Sehemu ya maandamano hayo kama ilivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha. |
Sehemu ya msaada wa Taulo la kike ambazo zimetolewa ikiwa sehemu ya maadhimisho hayo. |
Wanafunzi wakishudia masaada huo wa Taulo za kike ikiwa ni sehemu ya maadhimisho hayo ya siku ya wanawake duniani. |
Brass band ikiongoza maandamano ya wanaweke kutoka nchi za Afrika Mashariki na baadae Kongamano kwenye makao makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha |
Meza kuu kwenye Kongamano hilo |
Wanafunzi wa kike kutoka shule mbalimbali za Jiji la Arusha wakifuatilia mada mambalimbali zilizotolewa kwenye Kongamano hilo Jana jijini Arusha. |
Wanawake wakifuatilia mada kwenye Kongamano hilo |
Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki EALA akitoa mada kwenye Kongamano hilo |
Meza kuu wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa |
Jaji Mstaafu wa mahakama ya Rufani na Mwenyekiti Mstaafu wa TAWLA Eusebia Munuo akitoa Mada na hotuba kwenye Kongamano hilo. |
Wanawake wakifuatilia mada mbalimbali kwenye maadhimisho ya siku yao inaotarajiwa kuazimishwa kesho kote ulimwenguni. |
Tunafuatilia mada kwa makini |
No comments :
Post a Comment