Mwanafunzi wa kidato
cha nne, shule ya sekondari Kinyerezi jijini Dar Es Salaam, Rahma Seif
akielezea namna ya kujisomea kupitia mfumo wa Instant Schools
unaowezesha kupata materials‘ kwa njia ya mtandao bure kutoka Vodacom.
Hii ni hamasa iliyowekwa na Vodacom kuelekea siku ya wanawake Duniani
kwa mtoto wa kike kupenda masomo ya sayansi yenye kauli mbiu I am the
face of Tech.
Mkuu
wa Idara ya IT na Miradi Vodacom Tanzania PLC, Cleopatra Mukangara
akitoa zawadi kwa wanafunzi mbalimbali wa shule ya sekondari Kinyerezi
iliyopo Tabata, Dar Es Salaam
No comments :
Post a Comment