Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani kailima (Wa kwanza kushoto), Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, William Masunga (Wa pili
kushoto) wakiwasili kwenye Kikao Cha Baraza Dogo la Wafanyakazi Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji, kilichofanyika katika Ukumbi wa Chuo Cha Mipango,
jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani kailima (Katikati), Kamishna Jenerali
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, William Masunga (Wa kwanza kushoto) na
Katibu wa Baraza la Tawi la Zimamoto na Uokoaji, Felix Mushi (Wa kwanza
kulia) wakimsikiliza Mjumbe (hayupo pichani) kwenye Kikao Cha Baraza
Dogo la Wafanyakazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, kilichofanyika katika
Ukumbi wa Chuo Cha Mipango, jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani kailima (Pichani), akifafanua jambo
kwa Viongozi na Wajumbe (hawapo pichani) walioshiriki Kikao Cha Baraza
Dogo la Wafanyakazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, kilichofanyika katika
Ukumbi wa Chuo Cha Mipango, jijini Dodoma leo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani kailima (Wa tatu kulia), Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, William Masunga (Wa wanne
kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Kikao Cha
Baraza Dogo la Wafanyakazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, kilichofanyika
katika Ukumbi wa Chuo Cha Mipango, jijini Dodoma.
No comments :
Post a Comment