Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro, akikagua mradi wa ujenzi wa kituo cha Polisi kilichopo
wilaya ya Chemba mkoani Dodoma, leo 02/03/2020 wakati akiwa safarini
kuelekea mkoani Manyara kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro (katikati), akizungumza na Kamanda wa Polisi mkoa wa
Manyara, Paul Kasabago, wakati akipokelewa na mwenyeji wake kwa ajili ya
kuanza ziara ya kikazi mkoani humo leo 02/03/2020.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro, akitoka katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara,
ambapo alisaini kitabu cha wageni na kuzungumza na maofisa wa vyeo
mbalimbali na kuwakumbusha wajibu wao katika utendaji kazi, IGP Sirro
yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi. Picha na Jeshi la Polisi.
No comments :
Post a Comment