Wednesday, March 4, 2020

DKT. NDUMBARO AKUTANA,KUFANYA MAZUNGUMZO NA MASENETA KUTOKA UFARANSA



Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akiongea na Ujumbe wa maseneta sita (6) kutoka Ufaransa leo katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Ujumbe wa maseneta sita (6) kutoka Ufaransa, Bw. Herve Maurey (upande wa kulia mwa Naibu Waziri) akifafanua jambo wakati wa maongezi baina yao na Naibu Waziri, Dkt. Ndumbaro katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa maseneta kutoka Ufaransa, Bw. Herve Maurey akimkabidhi zawadi Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb)
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa maseneta sita (6) kutoka Ufaransa leo katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam

No comments :

Post a Comment