
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi
wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika
kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba
2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Katibu Mkuu wa
Wizara hiyo Nd,Yakout Hassan Yakout,[Picha na Ikulu].03/03/2020.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa Haji Ussi (katikati) alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 kwa niamba
Waziri wa Ofisi ya Rais ya Utumishi wa Umma na Utawala Maalim Haroun
Ali Suleiman katika kikao cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika
leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu
Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee (kulia),[Picha na Ikulu.] 03/03/2020.

Viongozi
katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Utumishi wa Umma na Utawala Bora
wakifuatilia kwa makini kikao cha Uongozi wa Wizara hiyo cha Utekelezaji
wa Mpango kazi kwa kipindi cha
Julai-Disemba 2019 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar,ambapo Mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na
Ikulu] 03/3/2020. 

Wakuu wa Idara mbali mbali katika
Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa
katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha
Julai-Disemba 2019 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar,ambapo Mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na
Ikulu.] 03/3/2020.
No comments :
Post a Comment