Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiongea na Balozi wa China nchini Tanzania, Balozi Wang Ke katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
Balozi wa China nchini Tanzania, Balozi Wang Ke akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba
John Kabudi (Mb) wakati walipokutana kwa mazungumzo katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
John Kabudi (Mb) wakati walipokutana kwa mazungumzo katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiongea na Balozi wa China nchini Tanzania, Balozi Wang Ke katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam. Upande wa kulia mwa Waziri ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge.
No comments :
Post a Comment