Friday, February 21, 2020

TMDA YASHIRIKI MAONESHO KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MADAKTARI JIJINI DAR ES SALAAM



 James Ndege Afisa Uelimishaji Umma TMDA  kulia  na Sigifrid Mtey Afisa Uelimishaji Umma TMDA wakitoa elimu kwa madaktari mbalimbali waliotembelea kwenye banda la Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba TMDA kwenye maadhimisho ya Siku ya Madaktari Tanzania yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jana jijini Dar es salaam.

No comments :

Post a Comment