Mkurugenzi wa Bidhaa za Kijamii wa
T-MARC Tanzania, Flavian Ngole, akiongea na wanafunzi wa kike wa
sekondari ya Mugabe wakati wa hafla ya kukabidhi taulo za kike kwa
wanafunzi wa shule hiyo.
Mkurugenzi wa Bidhaa za Kijamii
wa T-MARC Tanzania,Flavian Ngole (kushoto) akikabidhi taulo za kike kwa
Mwalimu mlezi wa shule ya sekondari ya Mugabe iliyopo Sinza jijini Dar
es Salaam, Theresia Paulo, wakati wa hafla ya hafla ya kukabidhi msaada
wa taulo za kike zilizozinduliwa na taasisi hiyo nchini zinazojulikana
kama Flowless, wa pili kushoto ni balozi wa bidhaa hiyo, Dinnah Marrios.
Mkurugenzi wa Bidhaa za Kijamii wa
T-MARC Tanzania, Flavian Ngole, (kushoto) akikabidhi taulo za kike kwa
mmoja wa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mugabe iliyopo wilayani
Kinondoni,Judith Michael, wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa taulo
za kike zilizozinduliwa na taasisi hiyo nchini zinazojulikana kama
Flowless, kwa wanafunzi wa shule hiyo ,wa pili kushoto ni balozi wa
bidhaa hiyo, Dinnah Marrios.
No comments :
Post a Comment