RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na mgeni
wake Balozi wa Angola Nchini Tanzania .Mhe.Sandro Agostinho De Oliveira ,
alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, leo
Ikulu. 6-2-2020
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na mgeni
wake Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe.Sandro Agostinho de Oliveira,
alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na
kujitambulisha leo 6-2-2020
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza mgeni wake
Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe. Sandro Agostinho de Oliveira,
alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo ,
6-2-2020
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiongozana na mgeni wake
Balozi wa Angola Nchini Tanzania Mhe.Sandro Agostinho de Oliveira,
wakitoka katika ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yaliofanyika Ikulu
Jijini Zanzibar leo 6-2-2020, alipofika kujitambulisha.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment