RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akimsikilizaMwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB Ndg.
Ally Hussein Laay, akitowa maelezo ya mafanikio ya Benki ya CRDB wakati
wa mazungumzo hayo na kumtambulisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa CRDB
Ndg. Abdulmajid Mussa Nsekela, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar,13-2-2020. (Picha na Ikulu)
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB Ndg.
Ally Hussein Laay, alipowasili katika ukumbi kwa mazungumzo na Ujumbe wa
CRDB uliuofika Ikulu Jijini Zanzibar leo, 13-2-2020 kwa mazungumzo na
kumtambulisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa CRDB.Ndg. Abdulmajid Mussa
Nsekela (kulia) (Picha na Ikulu)
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akiwa na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB.Ndg.
Abdulmajid Mussa Nsekela, na (katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi Benki ya CRDB Ndg. Ally Hussein Laay, wakitoka katika
ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika kujitambulisha leo
13- 2-2020 Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake (kushoto kwa Rais )
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB. Ndg. Ally Hussein
Laay na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB.Ndg.
Abdulmajid Mussa Nsekela.(Picha na Ikulu)
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB. Ndg.
Ally Hussein Laay (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB. Ndg. Abdulmaji Mussa Nsekela.(Picha na Ikulu )
No comments :
Post a Comment