Waziri wa Maliasili na Utalii,
Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Masoud Juma Hussein (Mtanzania
Mfupi Zaidi Duniani kuweka rekodi ya Dunia [Guinness World Records] kwa
kupanda mlima Kilimanjaro) nje ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo.
Masoud Juma Hussein amefika Bungeni kushuhudia kikao cha 8 cha Mkutano
wa 14 wa Bunge kwa mwaliko aliopewa na Waziri wa Maliasili na Utalii
Dkt. Hamisi Kigwangalla.
Waziri wa Maliasili na Utalii,
Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwa katika picha ya pamoja na Masoud Juma
Hussein (Mtanzania Mfupi Zaidi Duniani kuweka rekodi ya Dunia [Guinness
World Records] kwa kupanda mlima Kilimanjaro) nje ya ukumbi wa Bunge
jijini Dodoma leo. Wengine ni
Samwel C. Malugu – Meneja wa Masoud na Edward Hugolin Shirima Msaidizi wake.
Samwel C. Malugu – Meneja wa Masoud na Edward Hugolin Shirima Msaidizi wake.
Waziri wa
Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwa katika picha ya
pamoja na Masoud Juma Hussein (Mtanzania Mfupi Zaidi Duniani kuweka
rekodi ya Dunia [Guinness World Records] kwa kupanda mlima Kilimanjaro)
nje ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo.
PICHA/WMU.
No comments :
Post a Comment