Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na wabunge, Joseph Haule wa Mikumi (kulia)
na Peter Lijualika wa Kilombero kwenye viwanja vya bunge jijini
Dodoma, Februari 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akizungumza na wabunge wa Viti Maalum kwenye viwanja vya bunge jijini
Dodoma, Februari 3, 2020. Kutoka kushoto ni Cesilia Pareso, Grace
Kiwelu na Risala Kabongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na mnadhimu mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, Ester
Bulaya, kwenye jengo la utawala la Bunge jijini Dodoma, Februari 3,
2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na mbunge wa Igunga, Dkt. Dalaly Kafumu kwenye jengo la
utawala la bunge jijini Dodoma, Februari 3, 2020. Katikati ni Mbunge wa
Viti Maalum, Shally Raymond. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments :
Post a Comment