Kwa ufupi
Wanawake wajasiriamali na wale wanaoanzisha biashara na wenye
shauku ya kuanzisha viwanda kujiunga na Klabu ya Biashara ya NBC ili
kunufaika na fursa mbalimbali ikiwemo mafunzo yanayotolewa bila malipo
kuhusu mbinu za ujasiriamali kwa vitendo
No comments :
Post a Comment