Kiongozi wa chama cha ACT Zitto Kabwe.
Kwa ufupi
Siku moja baada ya baadhi ya wabunge kumwita Zitto Kabwe
msaliti, Naibu Kiongozi wa chama cha ACT - Wazalendo, Juma Duni Haji
amesema chama hicho kimevichukulia vitisho hivyo vya baadhi ya wabunge
kwa tahadhari kubwa na kwamba, watawajibika lolote litakapotokea.
No comments :
Post a Comment