Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Mbila Mdemu leo akizungumza na Wahasibu na Wakaguzi wa Ndani waliokuwa wakishiriki mafunzo ya uandaaji na
uwakilishwaji wa vitabu vya Hesabu za fedha kwa kuzingatia viwango vya Kimataifa vya Uhasibu kwa Taasisi za serikali (IPSAS accrual), wakati akiyafunga kwenye Jengo la Pili la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha
Julius Nyerere (JNIA-TB3).

Kaimu Mkurugenzi wa Fedha na Biashara wa Malaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), CPA Josephine Kolola (mbele) akitoa neno la shukrani mara baada ya kufungwa kwa mafunzo ya uandaaji na uwakilishwaji wa vitabu vya Hesabu za fedha kwa kuzingatia viwango vya Kimataifa vya Uhasibu kwa Taasisi za serikali (IPSAS accrual), yaliyokuwa yakifanyika kwenye Jengo la Pili la Abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA_TB2).
Mkufunzi CPA Angelile Tende kutoka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Tanzania (NBAA), akiwafundisha Wahasibu na Wakaguzi wa Ndani wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), wakimsikiliza Mkufunzi CPA Mohamed Nusura (hayupo pichani) mafunzo yaliyomalizika leo ya uandaaji na uwakilishwaji wa vitabu vya Hesabu za fedha kwa kuzingatia viwango vya Kimataifa vya Uhasibu kwa Taasisi za serikali (IPSAS accrual), kwenye Jengo la Pili la Abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius
Nyerere (JNIA_TB2).
Nyerere (JNIA_TB2).
Wahasibu na Wakaguzi wa Ndani wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), wakimsikiliza Mkufunzi CPA Angelile Tende (hayupo pichani) katika mafunzo ya uandaaji na uwakilishwaji wa vitabu vya Hesabu
za fedha kwa kuzingatia viwango vya Kimataifa vya Uhasibu kwa Taasisi za serikali (IPSAS accrual). Mafunzo hayo yamemalizika leo kwenye Jengo la Pili la Abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere
(JNIA_TB2).

*****************************
Na Bahati Mollel, TAA
WAHASIBU na Wakaguzi wa Ndani wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), wametakiwa kutumia vyema mafunzo ya uandaaji na uwakilishwaji wa vitabu vya Hesabu za