
Mhe. Innocent Bashungwa Waziri wa
viwanda na Biashara amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa DHL
nchini Bw.Paul Elton Garikai Makolosi ili kujua mipango yao ya
logistics na kuomba kusaidia biashara ndogo na kati kuuza bidhaa zao kwa
njia ya mtandao duniani kote ambapo shipping anafanya DHL.
Aidha awamekubaliana akutane na
TMEX, TANTRADE, TAHA ili washirikiane maandalizi ya mnada wa Chai
kufanyika Dar kuanzia mwaka huu 2020.
No comments :
Post a Comment