Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na
Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ally Mohamed Shein na Makamu wa Rais wa
Jamhuri Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Viongozi wengine kuashiria
uwekaji jiwe la msingi ujenzi Jengo la Makao Makuu ya Idara ya Usalama
wa Taifa (TISS) – Zanzibar. Januari 10,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56
ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika sherehe
ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi Jengo la Makao Makuu ya Idara ya
Usalama wa Taifa (TISS) – Zanzibar. Januari 10, 2020 kuelekea sherehe za
Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020.
Muonekano wa ujenzi wa jengo
jipya la Makao makuu ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) Zanzibar
ukiendelea ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi Jengo hilo
Januari 10,2020, kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
itakayofanyika Januari 12, 2020.
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment